Citations:Furati

Hello, you have come here looking for the meaning of the word Citations:Furati. In DICTIOUS you will not only get to know all the dictionary meanings for the word Citations:Furati, but we will also tell you about its etymology, its characteristics and you will know how to say Citations:Furati in singular and plural. Everything you need to know about the word Citations:Furati you have here. The definition of the word Citations:Furati will help you to be more precise and correct when speaking or writing your texts. Knowing the definition ofCitations:Furati, as well as those of other words, enriches your vocabulary and provides you with more and better linguistic resources.

Swahili citations of Furati

  • (Can we date this quote?), Mohamed Raza Dungersi, Wasifu Mfupi wa Imam Husayn (a.s.):
    Kwa mfano, kule Siffin wakati Muawiya alipozuiliya Imam Ali (a.s.) na jeshi lake maji ya mto Euphrates (Furati), ilikuwa muhimu kwa Imam Ali (a.s.) kulifukuza jeshi la Muawiya kutoka katika mto.
  • 1977, Sayyid Saeed Akhtar Rizvi, Muhammad (s.a.w.w.) ni Nabii wa Mwisho, page 112:
    Tokea hapo, Wayahudi wote ulimwenguni wanamngojea Masihi aliyeahidiwa, wakitazamia kuwa atakuwa jenerali na mwanasiasa ambaye ataanzisha Milki ya Kiyahudi toka mto Nile hadi Mto Furati na atawakusanya Wayahudi wote na
  • 1999Sayyid wa Vijana wa Peponi →ISBN, page 11:
    Hafla hii ya siku ya leo inaadhimisha tukio adhimu la kujitolea muhanga kwa kundi la mawalii wa Mwenyezi Mungu takriban miaka arubatashara elfu iliyopita katika jangwa la Karbala kandoni mwa mto wa Furati katika nchi ambayo leo
  • 1999, Mashairi ya Masaibu ya Karbala →ISBN, page 17:
    wakafika Vijana wazi midomo Kusudi wa mwandamia Maji wanahitajia Furati wakaushika maji wanywayo wanyama Pasi nafasi kutoka punda,